У нас вы можете посмотреть бесплатно Hii hapa Bajeti NZIMA ya Wizara ya Elimu 2023/24 ; Wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu waongezeka или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Serikali katika mwaka 2023/24 itaongeza idadi ya wanafunzi wa elimu ya juu wanaonufaika na mikopo kutoka 202,877 hadi 210,169. Hayo yamesemwa leo Jumanne Mei 16, 2023 na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda wakati akiwasilisha mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka 2023/24. Profesa Mkenda amesema katika kuwezesha wanafunzi wa Tanzania wenye uhitaji na stahiki ya kupata mkopo kwa ajili ya elimu ya juu itaongeza fursa za mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya Juu kutoka 202,877 hadi 210,169. Amesema pia Serikali itaendelea kusajili wanafunzi 72,361 wa mwaka wa kwanza katika mfumo wa malipo wa kidijitali (DIDiS).