У нас вы можете посмотреть бесплатно KUJUMULISHA SEHEMU ZENYE ASILI TOFAUTI | SOMO LA 4 | DARASA LA 5,6,7 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu tena kwenye mfululizo wetu wa HESABU! 😊 Leo ni SOMO LA 4 la mada yetu ya KUJUMULISHA SEHEMU ZENYE ASILI TOFAUTI. Katika somo hili, tunajifunza namna ya kutengeneza asili kuwa moja kwa kutumia kuzidisha. 📚 Mifano tutakayojifunza: 1. 20/50 + 3/25 = 2. 7/9 + 10/27 = 3. 2/3 + 1/9 + 1/18 = 4. 15/30 + 45/90 = 5. 3/8 + 2/6 = 🔢 Utakayojifunza: · Kutafuta asili sawa kwa kuzidisha · Kubadilisha sehemu kuwa na asili moja · Kujumlisha nambari baada ya kuleta kwa asili sawa · Kurahisisha jibu la mwisho Video hii inawafaa wanafunzi wa darasa la 5, 6 na 7, na pia wale wote wanaotaka kuimarisha ujuzi wao wa sehemu. 🔔 USISAHAU: ✅ LIKE ikiwa video imekusaidia ✅ SHARE na marafiki zako ✅ SUBSCRIBE kwa video mpya kila wiki ✅ Bonyeza kengele ili upate arifa #HesabuDarasa6 #KujumlishaSehemu #KujumlishaSehemu #SehemuZenyeAsiliTofauti #HesabuDarasa5 #HesabuDarasa7 #ElimuTanzania #SomolaHesabu #Sehemu