У нас вы можете посмотреть бесплатно KINGA YA JAMII YAZINDULIWA RASMI, NSSF YAPAISHA MAPATO, SERIKALI YATAKA UWAZI FEDHA ZA WANACHAMA. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano, Mheshimiwa Deus Clement Sangu, amesema mafanikio makubwa yaliyopatikana katika sekta ya kinga ya jamii nchini, ambapo thamani ya mifuko yote ya hifadhi ya jamii imeongezeka maradufu kutoka shilingi trilioni 10.43 mwaka 2020 hadi kufikia shilingi trilioni 24.20 mwezi Desemba 2025. Mhe. Sangu amebainisha hayo wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Kinga ya Jamii uliofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa AICC jijini Arusha wakati akimwakilisha Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. #video #arushatanzania #breakingnews #ikulumawasiliano #itv #tbc #tranding #wasafifm #fly #samiasuluhuhassan #lissu #flyxo #flower