У нас вы можете посмотреть бесплатно Jinsi ya Kuanzisha Biashara ya Stationery Yenye Faida: Business Plan! или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Jinsi ya kuanzisha biashara ya stationery yenye faida. Unapo anzisha biashara ya stationery ni muhimu kutengeneza Business plan. Business plan ni andiko la muhimu unapotaka kuanzisha biashara ya duka la stationery. Wakati una anzisha duka la stationery huwezi kutekeleza mambo yote kwa ufanisi kama hauna maandiko yatakayo kuongoza. Business Plan ni mandiko ambayo unatakiwa kuwa nayo, ambayo huwa ni dira inayokuongoza jinsi ya kuanzisha na kusimamia biashara mpya. 1. Soma eBooks za Ujasiriamali za Tan Business Channel: Wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439 2. Tan Business Online School: https://ali-mwambola-s-school.teachab... 3. Pata ushauri kupitia WhatsApp 255 716 682439 4. Pata habari zaidi kupitia website yetu: www.tanbusiness.co.tz 5. Mitandao yetu ya kijamii: Facebook: / tanbusiness Instagram: / tanbusiness YouTube: / alimwambola #jifunzeujasiriamali #vitabuvyaujasiriamali #alimwmabola #tuongeebiashara #tujifunzeujasiriamali #mizungukoyaujasiriamali