У нас вы можете посмотреть бесплатно WAZIRI AWESO AMBANANISHA MHANDISI WA MAJI, AWAOMBA RADHI WANANCHI. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri wa maji Jumaa Aweso ameagiza Uongozi wa wakala wa Maji safi na salama vijijini RUWASA Mkoa wa Arusha na Wilaya ya Monduli kutenga jumla ya shilingi milioni 248 kwa ajili ya maboresho ya miundombinu ya huduma ya Maji safi na salama kwa ajili ya wananchi wa Kata ya Lepurko Kijiji cha Nanja Wilayani Monduli Mkoani Arusha. Akiwa katika mkutano wa hadhara ulioambatana na hafla fupi ya utiaji Saini ya Mikataba miwili ya ujenzi wa miradi ya Maji katika Wilaya hiyo wenye zaidi ya shilingi Bilioni 27, Waziri Waziri Aweso amewataka viongozi Kuchukua hatua stahiki katika kutoa huduma kwa wananchi na mambo yalikuwa hivi,Mhandisi wa Maji Wilaya ya Monduli Neville Msaki alijibu maswali ya Waziri wa maji mbele ya wananchi.