У нас вы можете посмотреть бесплатно Social International Choir _MABAYA HAYATANIPATA ( Live Music Video ) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Zaburi 91:10,13-16 [10]Mabaya hayatakupata wewe, Wala tauni haitaikaribia hema yako. [13]Utawakanyaga simba na nyoka, Mwana-simba na joka utawaseta kwa miguu. [14]Kwa kuwa amekaza kunipenda Nitamwokoa; na kumweka palipo juu, Kwa kuwa amenijua Jina langu. [15]Ataniita nami nitamwitikia; Nitakuwa pamoja naye taabuni, Nitamwokoa na kumtukuza; [16]Kwa siku nyingi nitamshibisha, Nami nitamwonyesha wokovu wangu. Kutoka 33:14 [14]Akasema, Uso wangu utakwenda pamoja nawe, nami nitakupa raha. Ni muda mzuri wa kutamka na kukiri ushindi juu yako. Unaumaliza mwaka na kuanza mwaka mpya, jitabirie hakuna baya litakalokupata wewe kwani uso wa Bwana utakuwa pamoja nawe kila mahali akikulinda. 𝗖𝗥𝗘𝗗𝗜𝗧: 𝐕𝐢𝐝𝐞𝐨 𝐃𝐢𝐫𝐞𝐜𝐭𝐨𝐫: SP Visual 𝐕𝐢𝐝𝐞𝐨 𝐄𝐝𝐢𝐭𝐨𝐫: SP Visual 𝐀𝐮𝐝𝐢𝐨: mix3dbyfreddie ( Fredrick Kilago ) 𝐒𝐨𝐮𝐧𝐝 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Hans Thomas ( Good sound ) 𝐋𝐢𝐠𝐡𝐭𝐬 𝐏𝐫𝐨𝐯𝐢𝐝𝐞𝐫: Mr Joram 𝐒𝐭𝐚𝐠𝐞 𝐃𝐞𝐬𝐢𝐠𝐧: Leonard Joctan Song Writer : Peter Ishumael 𝗖𝗢𝗡𝗡𝗘𝗖𝗧 𝗪𝗜𝗧𝗛 𝗨𝗦: Instagram: Social International Choir Facebook: Social International Choir X: Social International Choir Threads: Social International Choir Tiktok: Social International Choir 𝐂𝐨𝐧𝐭𝐚𝐜𝐭 𝐮𝐬: Whatsapp: +255 625 581 478 +255 716 527 129 Email: [email protected] #umenipendelea #2025 #dripyana #bellakombo #neemagospelchoir #mabayahayatanipata #gospel #umekuwanami #ahsante #neema #zoravo #socialinternational #uscf #olodumare #wasafi #elohim #mwamposa #mwakasege #chekatu #arusha #lydiableck #bsss #kupendelewa #happynewyear #gospelmusic #music #choir #dance #MabayaHayatanipata #nahisikupendelewa #trendingvideo #social #live #neemagospelchoir #worship #uscf #dripyana #newsong #paulclement #zoravo #zabronsingers #happynewyear #nikurejeshee