У нас вы можете посмотреть бесплатно JAFO ATAJA SULUHISHO KUONDOA WAGENI KARIAKOO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Viwanda na bishara Dk Suleimani Jafo, amesema ili kumaliza tatizo la wafanyabishara wa kigeni kufanya biashar za wazawa, ni muhimu kuandaliwa haraka sheria mpya itakayobainisha kwa uwazi aina ya biashara zinazopaswa kufanywa na nani. Akizungumza wakati akipokea ripoti ya timu iliyoundwa kufanya ukaguzi kufuatilia wafanyabiashara wa kigeni waliopo Kariakoo ambao wanafata sheraia za kanuni za utoaji leseni na vibali vya kufanya kazi, kwa lengo la kuhakikisha fursa za wazawa zinabaki kwa wazawa, Dk Jafo amesema tayari timu ya kundaa mapendekezo ya sheria hizo inaendelea mkoani Morogoro. Timu hiyo ilianza kazi tar 5 hadi 30 mwezi mei , 2025, iliundwa na jumla ya taasisi tano za kiserikali zinazohusika katika sekta ya biashara. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09