У нас вы можете посмотреть бесплатно 17. Immutable Objects katika Java (OOP Advanced Tips). или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Je, unajua kuwa kuruhusu data kama ID au Namba ya usajili kubadilika ni kosa kubwa la kiusalama? Katika video hii, tutaona jinsi ya kutumia Immutable Objects kulinda mfumo wako kama Software Engineer. Katika mwendelezo huu wa Java OOP, tunaingia kwenye dhana ya Immutability. Tutajifunza kwa nini baadhi ya data hazipaswi kubadilika baada ya kuundwa na jinsi ya kutumia keyword ya final pamoja na constructors kuzuia mabadiliko ya hovyo. Pia, tutatengeneza mfano wa maisha halisi wa National ID na kuona siri iliyopo nyuma ya String objects katika Java. Kama unataka kuongeza uwezo wako wa kudesign mifumo imara, hakikisha UNASUBSCRIBE sasa hivi. Una swali kuhusu Immutability? Niandikie hapo chini! 👇 🔥🎬 ─ Karibu kwenye Channel yangu - Mohamed Hafidh! ─🎬🔥 Hapa tunajifunza na kukua PAMOJA kila wiki kupitia maudhui yatakayokupa maarifa ya kufanya maamuzi sahihi na kufikia malengo yako. ⭐ Tegemea video zilizojikita katika ─ Teknolojia ─ , na mengi zaidi ya kuvutia! 🚀 ── 🌟 Lengo langu: Kukusaidia kujifunza, kukua, na kufurahia safari yako ya maarifa. Kila mmoja ana uwezo wa kufanikisha malengo yake! 💪 ─ Si video tu. Kila content ni kwa ajili ya kukufanya uwe bora, ujue zaidi, na uweze kushinda katika maisha ya kila siku. ─────── ✅ ─Usisahau: ─ 👉 ─Subscribe ─ ili upate video mpya kila mara 1️⃣ ─ SUBSCRIBE ─ sasa hivi → / @mohamedhafidh255 🔔 ─ Wash kengele ─ ili usipitwe na updates 2️⃣ ─ WASHA NOTIFICATION ─🔔 (ili upate video zangu KILA NIKITOA) ─────── 🔗 ─ Usibaki nyuma! Pata updates za haraka, maswali na majibu (Q&A) na maudhui mengine ya kipekee. 🌐 ─ Ungana nami kwenye mitandao:─ 📱 WhatsApp Group: https://chat.whatsapp.com/JNKq7IDzVcU... 📱 WhatsApp Channel: https://whatsapp.com/channel/0029Vadg... 📱 Telegram: https://t.me/mohamedhafidh_tz 📸 Instagram: / mohamedhafidh_tz 🎥 TikTok: / mohamedhafidh_tz ─────── 🙏 Asante kwa kuwa sehemu ya community yetu – tunajifunza na kukua pamoja! #immutable #java #programming