У нас вы можете посмотреть бесплатно 20. Huwezi kujiita "Java Developer" bila kuelewa Polymorphism | OOP JAVA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Je, unajua kuwa unaweza kutumia jina moja la method lakini ukapata matokeo tofauti kabisa? Katika video hii, tutavunja dhana ya Polymorphism kwa Kiswahili rahisi ili uweze kuandika code za kisasa. Baada ya kuelewa Inheritance, leo tunaingia kwenye nguzo yenye nguvu zaidi ya OOP: Polymorphism. Tutaona jinsi object inavyoweza kubadilika tabia kulingana na mazingira (Runtime), na kwanini kutumia Student s = new GraduateStudent() ni mbinu inayotofautisha Junior na Senior Developers. Tutatumia mfano wa vitendo wa Student System yetu kuona mabadiliko haya yakitokea live kwenye kioo chako. Kama somo hili limekufungua macho, usisahau KUSUBSCRIBE na kugusa kengele. Una swali kuhusu tofauti ya "Reference" na "Object"? Niandikie hapo chini kwenye comments! 👇 🔥🎬 ─ Karibu kwenye Channel yangu - Mohamed Hafidh! ─🎬🔥 Hapa tunajifunza na kukua PAMOJA kila wiki kupitia maudhui yatakayokupa maarifa ya kufanya maamuzi sahihi na kufikia malengo yako. ⭐ Tegemea video zilizojikita katika ─ Teknolojia ─ , na mengi zaidi ya kuvutia! 🚀 ── 🌟 Lengo langu: Kukusaidia kujifunza, kukua, na kufurahia safari yako ya maarifa. Kila mmoja ana uwezo wa kufanikisha malengo yake! 💪 ─ Si video tu. Kila content ni kwa ajili ya kukufanya uwe bora, ujue zaidi, na uweze kushinda katika maisha ya kila siku. ─────── ✅ ─Usisahau: ─ 👉 ─Subscribe ─ ili upate video mpya kila mara 1️⃣ ─ SUBSCRIBE ─ sasa hivi → / @mohamedhafidh255 🔔 ─ Wash kengele ─ ili usipitwe na updates 2️⃣ ─ WASHA NOTIFICATION ─🔔 (ili upate video zangu KILA NIKITOA) ─────── 🔗 ─ Usibaki nyuma! Pata updates za haraka, maswali na majibu (Q&A) na maudhui mengine ya kipekee. 🌐 ─ Ungana nami kwenye mitandao:─ 📱 WhatsApp Group: https://chat.whatsapp.com/JNKq7IDzVcU... 📱 WhatsApp Channel: https://whatsapp.com/channel/0029Vadg... 📱 Telegram: https://t.me/mohamedhafidh_tz 📸 Instagram: / mohamedhafidh_tz 🎥 TikTok: / mohamedhafidh_tz ─────── 🙏 Asante kwa kuwa sehemu ya community yetu – tunajifunza na kukua pamoja! #polymorphism #java #programming