У нас вы можете посмотреть бесплатно 15. Mini Project | Jinsi ya Kutumia Encapsulation | Student System | Java OOP или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Jifunze kutengeneza Student Management System kwa kutumia Java OOP na uone jinsi ya kutumia Encapsulation kulinda data zako kama mtaalamu. Katika tutorial hii ya vitendo, tutatengeneza mini-project kuanzia mwanzo (live coding) ili kuelewa dhana ya ulinzi wa data kwenye Java. Utaona tofauti kati ya kuandika code za kawaida na kuandika mfumo unaofuata sheria za software engineering. Tutajenga Student Class, tutadhibiti 'marks' na 'age', na kuhakikisha mfumo wetu haukubali data mbovu. Kama somo hili limekusaidia, subscribe ili uendelee kujifunza Java kwa Kiswahili. Niandikie neno "DONE" kwenye comment ukimaliza kutengeneza project hii! 🔥🎬 ─ Karibu kwenye Channel yangu - Mohamed Hafidh! ─🎬🔥 Hapa tunajifunza na kukua PAMOJA kila wiki kupitia maudhui yatakayokupa maarifa ya kufanya maamuzi sahihi na kufikia malengo yako. ⭐ Tegemea video zilizojikita katika ─ Teknolojia ─ , na mengi zaidi ya kuvutia! 🚀 ── 🌟 Lengo langu: Kukusaidia kujifunza, kukua, na kufurahia safari yako ya maarifa. Kila mmoja ana uwezo wa kufanikisha malengo yake! 💪 ─ Si video tu. Kila content ni kwa ajili ya kukufanya uwe bora, ujue zaidi, na uweze kushinda katika maisha ya kila siku. ─────── ✅ ─Usisahau: ─ 👉 ─Subscribe ─ ili upate video mpya kila mara 1️⃣ ─ SUBSCRIBE ─ sasa hivi → / @mohamedhafidh255 🔔 ─ Wash kengele ─ ili usipitwe na updates 2️⃣ ─ WASHA NOTIFICATION ─🔔 (ili upate video zangu KILA NIKITOA) ─────── 🔗 ─ Usibaki nyuma! Pata updates za haraka, maswali na majibu (Q&A) na maudhui mengine ya kipekee. 🌐 ─ Ungana nami kwenye mitandao:─ 📱 WhatsApp Group: https://chat.whatsapp.com/JNKq7IDzVcU... 📱 WhatsApp Channel: https://whatsapp.com/channel/0029Vadg... 📱 Telegram: https://t.me/mohamedhafidh_tz 📸 Instagram: / mohamedhafidh_tz 🎥 TikTok: / mohamedhafidh_tz ─────── 🙏 Asante kwa kuwa sehemu ya community yetu – tunajifunza na kukua pamoja! #java #programming #mohamedhafidh