У нас вы можете посмотреть бесплатно 19. Jifunze Java Inheritance | Siri ya kurudia code bila Copy-Paste или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Umechoka kurudia kuandika code zile zile kila unapotengeneza Class mpya? Katika video hii, utajifunza jinsi ya kutumia Inheritance kwenye Java ili kurahisisha kazi yako na kuifanya code yako iwe ya kitaalamu zaidi. Leo tunachukua Student System yetu na kuipandisha ngazi! Tutatengeneza GraduateStudent class ambayo inachukua tabia zote za Student bila sisi kuandika upya property hata moja. Utaelewa matumizi ya keyword ya extends, siri iliyopo nyuma ya super(), na jinsi ya kufuata kanuni ya "Don't Repeat Yourself" (DRY) kama Senior Developer. Kama unataka kuandika code fupi na zenye akili, hakikisha UNASUBSCRIBE na ubonyeze kengele. Je, ushawahi kutumia keyword ya extends kabla? Niandikie "YES" au "NO" kwenye comments! 👇 🔥🎬 ─ Karibu kwenye Channel yangu - Mohamed Hafidh! ─🎬🔥 Hapa tunajifunza na kukua PAMOJA kila wiki kupitia maudhui yatakayokupa maarifa ya kufanya maamuzi sahihi na kufikia malengo yako. ⭐ Tegemea video zilizojikita katika ─ Teknolojia ─ , na mengi zaidi ya kuvutia! 🚀 ── 🌟 Lengo langu: Kukusaidia kujifunza, kukua, na kufurahia safari yako ya maarifa. Kila mmoja ana uwezo wa kufanikisha malengo yake! 💪 ─ Si video tu. Kila content ni kwa ajili ya kukufanya uwe bora, ujue zaidi, na uweze kushinda katika maisha ya kila siku. ─────── ✅ ─Usisahau: ─ 👉 ─Subscribe ─ ili upate video mpya kila mara 1️⃣ ─ SUBSCRIBE ─ sasa hivi → / @mohamedhafidh255 🔔 ─ Wash kengele ─ ili usipitwe na updates 2️⃣ ─ WASHA NOTIFICATION ─🔔 (ili upate video zangu KILA NIKITOA) ─────── 🔗 ─ Usibaki nyuma! Pata updates za haraka, maswali na majibu (Q&A) na maudhui mengine ya kipekee. 🌐 ─ Ungana nami kwenye mitandao:─ 📱 WhatsApp Group: https://chat.whatsapp.com/JNKq7IDzVcU... 📱 WhatsApp Channel: https://whatsapp.com/channel/0029Vadg... 📱 Telegram: https://t.me/mohamedhafidh_tz 📸 Instagram: / mohamedhafidh_tz 🎥 TikTok: / mohamedhafidh_tz ─────── 🙏 Asante kwa kuwa sehemu ya community yetu – tunajifunza na kukua pamoja! #inheritance #java #oop