У нас вы можете посмотреть бесплатно MAOMBI, MAWAZO, IMANI na MASHAKA❗ или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
UMUHIMU WA MAWAZO KATIKA MAOMBI yetu kabla na baada ya maombi Unawaza nini? Anasema katika Nahumu 1:9 unawaza nini juu ya BWANA? Imani ndio msukumo wa jawabu la maombi yako. Mashaka ndio kikwazo cha maombi yako. Yakobo 1:5-8 5 Lakini mtu wa kwenu akipungukiwa na hekima, na aombe dua kwa Mungu, awapaye wote, kwa ukarimu, wala hakemei; naye atapewa. 6 Ila na aombe kwa imani, pasipo shaka yo yote; maana mwenye shaka ni kama wimbi la bahari lililochukuliwa na upepo, na kupeperushwa huku na huku. 7 Maana mtu kama yule asidhani ya kuwa atapokea kitu kwa Bwana. 8 Mtu wa nia mbili husita-sita katika njia zake zote. • VITU VYA KUFANYA ILI KUTUNZA UWEPO WA MUNG... • UTAJUAJE KAMA MUNGU YUPO KWAKO ⁉️ #2025 #yesu #mungu #injili #jesus #sign #yesu #mungu #god #video #africa #repentance