У нас вы можете посмотреть бесплатно Jinsi ya kuanzisha biashara ya gas yenye kupata faida или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Jinsi ya kuanzisha biashara ya gas yenye kupata faida. Moja kati ya biashara ambayo unaweza kujiajiri mwenyewe ni ya kuuza gas ya kupikia. Sasa hivi kuna mahitaji makubwa ya gas ya kupikia katika maeneo mbali mbali hapa Tanzania. Uwepo wa mahitaji ya gas sehemu mbali mbali ni fursa kwa mjasiriamali kuanzisha biashara ya gas ya kupikia. Hivyo kama unataka kuanzisha biashara ya gas ya kupikia inabidi ufuate taratibu zinazo kubalika za kuanzisha biashara ya gas ya kupikia Video hii inaeleza taratibu za kutekeleza iwapo unataka kuanzisha biashara ya gas ya kupikia Tunakuomba subscribe ili usipitwe na video zetu zinazo tolewa kila siku 1. Soma eBooks za Ujasiriamali za Tan Business Channel: Wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439 2. Tan Business Online School: https://ali-mwambola-s-school.teachab... 3. Pata ushauri kupitia WhatsApp 255 716 682439 4. Pata habari zaidi kupitia website yetu: www.tanbusiness.co.tz 5. Mitandao yetu ya kijamii: Facebook: / tanbusiness Instagram: / tanbusiness YouTube: / alimwambola #jifunzeujasiriamali #vitabuvyaujasiriamali #alimwmabola #tuongeebiashara #tujifunzeujasiriamali #mizungukoyaujasiriamali