У нас вы можете посмотреть бесплатно 160. Sijda ya kisomo ( Sijdatul Tilaawah) - Sheikh Abdul Majid или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Sijdatul Tilaawah ni sijda ya lazima baada ya kusoma au kusikia moja ya ayah za sajdah. Aya hizi zinapatikana katika surah hizi: Aliif laam sajdah Suratul Haamiim Sajdah Suratul Najm Suratul alaq Pindi tu azisikiapo aya hizi na hasa neno sijda katika aya hizi, mukallaf anatakikana kusujudu sijda ya wajib. Lau hatasujudu basi atapata dhambi. Ni haram kusoma sura hizi kwenye swala. Lau itasomwa na kwa udhuru wowote ule mukallaf asiweze kusujudu, itambidi aikidhi sijda hiyo. Msomaji wa aya hiyo na yule aisikiaye aya ya sijda ni lazima asujudu. Kama mukallaf atasahau basi itambidi asujudu pindi tu akikumbuka. Hakutakuwa na uwajibu wa kusujudu sijda ya kisomo kama atasikia kupitia kwenye chombo cha kurekodi kama simu nk.