У нас вы можете посмотреть бесплатно UTOAJI HUDUMA ZA MSAADA WA KISHERIA UNAVYOGUSA MAISHA YA WATANZANIA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Utoaji wa Huduma za Msaada wa Kisheria bado unaendelea kugusa maisha ya Watanzania wengi wenye kipato cha chini na wasio na uwezo wa kumudu gharama za mawakili. Wizara ya Katiba na Sheria kupitia kliniki ya Msaada wa Kisheria imemfikia Mzee Jumanne Ngaiza anayeishi katika mtaa wa Unyankahe kata ya Mandewa Manispaa ya Singida. Ngaiza aliwasilisha mgogoro wa ardhi uliomsumbua kwa muda mrefu kwa Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Juma Zuberi Homera mnamo januari 9, 2026 kupitia kliniki ya msaada wa kisheria mkoani humo. Baada ya kusikilizwa timu ya Wataalamu wa Wizara na Manispaa ya Singida wakishirikiana na Ofisi ya mtaa walielekea katika eneo lililokuwa na mgogoro ili kupata uhalisia na kujiridhisha juu ya hoja zilizowasilishwa na mzee Jumanne kuhusu mgogoro huo wa ardhi.