У нас вы можете посмотреть бесплатно ZAIDI YA BILIONI 2 KUJENGA JENGO LA MASHTAKA SINGIDA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Serikali imetenga zaidi ya Shilingi Bilioni 2 kwa ajili ya ujenzi wa jengo kubwa la mashtaka mkoani Singida, ambalo linatarajiwa kuongeza ufanisi na upatikanaji wa haki kwa wananchi. Akizungumza leo Januari 9, 2026 katika uzinduzi wa Kliniki ya Huduma za Msaada wa Kisheria uliofanyika katika viwanja vya Bishop Mabula Stand, Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Juma Homera, amesema jengo hilo litawaondolea wananchi usumbufu waliokuwa wakiupata katika kufuata huduma za kisheria. Amesema ujenzi huo utahakikisha wananchi wanapata fursa ya kusikilizwa, kufungua mashtaka na mashauri mbalimbali kwa urahisi zaidi na katika mazingira bora. Waziri Homera ameongeza kuwa Serikali pia inaendelea kusimamia mpango wa ujenzi wa mahakama katika maeneo mbalimbali nchini ili kuhakikisha Watanzania wanapata haki zao kwa wakati.