У нас вы можете посмотреть бесплатно Rais Dkt. Hussein Mwinyi ya kuiondoa Zanzibar kwenye utegemezi wa rufaa или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MAPINDUZI MAKUBWA YA SEKTA YA AFYA ZANZIBAR. Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Mngereza Mzee Miraji, ameweka wazi dira ya Rais Dkt. Hussein Mwinyi ya kuiondoa Zanzibar kwenye utegemezi wa rufaa za matibabu nje ya nchi na kuijenga kuwa mdau mkubwa wa kikanda katika sekta ya afya. Tayari zaidi ya shilingi bilioni 120–130 zimetumika katika miundombinu ya afya, huku safari ikiendelea kwa uwekezaji wa zaidi ya shilingi trilioni 1.016. Uwekezaji huu unahusisha Hospitali ya Rufaa na Chuo cha Binguni vilivyofikia hatua za mwisho za idhini, ukarabati na upanuzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja yenye zaidi ya vitanda 200 na huduma za kisasa, ukamilishaji wa hospitali nne za mikoa Pemba na Unguja pamoja na ujenzi wa kliniki maalum za magonjwa ya kansa zitakazogharimu zaidi ya shilingi bilioni 120.