У нас вы можете посмотреть бесплатно LUBUNGO, MOROGORO | JINSI RUZUKU ZA PEMBEJEO ZILIVYOBADILISHA MAISHA YA WAKULIMA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kijiji cha Lubungo, kilichopo zaidi ya kilomita 40 kutoka Morogoro Mjini, kwa muda mrefu kilikumbwa na changamoto ya upatikanaji wa pembejeo za kilimo. Wakulima walipanda kwa matumaini makubwa lakini mara nyingi walivuna chini ya matarajio kutokana na gharama kubwa za mbegu na mbolea. Kupitia jitihada za serikali chini ya uongozi wa Samia Suluhu Hassan, wakulima wa eneo hili wamepata pembejeo kwa ruzuku, jambo lililowawezesha kupanua mashamba yao, kuongeza hekari za uzalishaji, na kupata mavuno mengi zaidi. Leo, simulizi ya Lubungo ni hadithi ya mabadiliko — kutoka changamoto hadi matumaini, kutoka uzalishaji mdogo hadi mafanikio ya kiuchumi. 🎥 Tazama documentary hii kuona ushuhuda wa wakulima na mabadiliko halisi yaliyojitokeza mashambani. 👉 Subscribe kwa simulizi zaidi za maendeleo na mabadiliko nchini Tanzania.