У нас вы можете посмотреть бесплатно MAKAA YA MAWE NA UJIO WA MELI MPYA UTAKAVYOIBADILISHA MBAMBA-BAY WILAYANI NYASA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kutokana na kuongezeka kwa shughuli za uchimbaji wa makaa ya mawe na usafirishaji wa meli Serikali inatarajia kujenga bandari mpya na ya kisasa katika fukwe za Mbamba bay zilizopo wilayani Nyasa mkoani Ruvuma katika ziwa Nyasa. Hivi sasa Mbamba Bay ambayo ni kiunganishi cha Tanzania na nchi Malawi na Msumbiji kuna bandari iliyojengwa miaka kadhaa iliyopita ambayo miundombinu yake imechakaa