У нас вы можете посмотреть бесплатно BREAKING: KIVUKO cha MV Nyerere Kimekamilika Kuvutwa или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
BREAKING: KIVUKO cha MV Nyerere Kimekamilika Kuvutwa Kivuko cha Mv Nyerere kimevutwa hadi umbali usiozidi hatua 30 kutoka nchi kavu ya ufukwe wa Ziwa Victoria katika kijiji cha Bwisya kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe. Kazi ya kukivutia nchi kavu kivuko hicho kilichopinduka Septemba 20, 2018 inafanywa na wataalam wa uokoaji kutoka vikosi vya ulinzi na usalama wakishirikiana na wenzao kutoka makundi mbalimbali. Wataalam hao wameanza kazi hiyo tangu saa 5:21 asubuhi leo Septemba 28 wakitumia mitambo maalum ya kuvuta vitu vizito. Ili kisianguke, kivuko hicho kimeegemezwa kwenye meli kubwa ya mizigo ya Mv Nyakibalya inayosindikizana nayo sambamba kuelekea ufukweni. bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://ww.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Suazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .