У нас вы можете посмотреть бесплатно NG' OMBE WA MAZIWA ALIVYOBADILISHA MAISHA YA EZEKIEL KUPITIA MRADI WA SOS ARUSHA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
HALMASHAURI YA KARATU Shirika la SOS linatekeleza miradi mingi ya kijamii. Na ili kuendelea kupanua wigo zaidi wa kuzifikia jamii nyingi katika maeneo tofauti tofauti katika Mkoa wa Arusha mradi wa Arusha re innovation unatekelezwa. Kata tisa Halmashauri ya Wilaya Karatu zimefikiwa na ukombozi huu. Ng’ombe wa maziwa wamebadili maisha ya Ezekiel, hapa anafunguka kuhusu maisha yake kabla na baada ya ujio wa mradi Kwenye hii kaya ya Ezekiel si ufugaji tu na kilimo kinaendelea. Bwana Ezekiel anakiri kwamba maisha yake yamebadilika, ulinzi na usalama na afya kwa familia yake pia ni hakika. Aidha wakazi wa Halmashauri hii ya Karatu wameeleza zaidi namna miradi ya uwezeshwaji ya SOS ilivyo inua uchumi imara kupitia vikundi na ndani ya familia. Mradi huu upo kimkakati, na moja ya mkakati wa mradi ni kuendeleza ndoto za vijana, hapa Arusha, Kikundi hiki cha ukombozi kimeweka mkakati wa kuvuka malengo katika usafirishaji wa guta, je malengo hayo yabafikiwa? Wengine wanufaika wa Arusha Re innovation ni Rose Tesha na Michael ambaye ni dereva wa bodaboda. Mradi huu unao Wasaidizi wa familia ambazo zimewezeshwa na SOS, nah ii itasaidia uendelevu wa matokeo baada ya mradi kuisha, kwenye Kata 9 za Karatu wasaidizi hawa wanapongeza jitihada hizi. MWISHO