У нас вы можете посмотреть бесплатно Mauwaji ya Waandamanaji Zanzibar Januari 2001: Sababu zilezile miaka 25 baadae tangu yafanyike или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Maandamano na mauwaji ni kitu ambacho kiko midomoni mwa Watanzania wengi tangu yatokee matujlkio ya aina hiyo Oktoba 29 na siku zilizofuata mwaka 2025. Lakini je, wajua kuwa hilo si tukio la kwanza kufanyika katika ardhi ya Tanzania? Mwezi huu wa Januari miaka 25 iliyopita, kulifanyika pia mauwaji dhidi ya waanadamanji katika visiwa vya Zanzibar. Watu waliuawa kwa risasi, kukamatwa, kuwekwa vizuini na kupigwa vipigo ambavyo vilivyoacha alama kwenye miili na maisha yao. Said Miraji ni miongoni mwa waliokumbwa na kadhia hiyo wakati huo akiwa ni Mkurugenzi wa vijana wa Chama cha Wananchi, CUF, ambao ndio walioandaa maandano hayo ya kudai mambo kadhaa vikiwemo uchaguzi huru na wa haki pamoja na katiba mpya. Vyombo vya dola, chini ya Amiri jeshi Mkuu wa Tanzania kwa wakati ule Rais Benjamin Mkapa viliwauwa kwa risasi waandamanaji hao ambao hawakuwa na chochote mikononi mwao. Hii ni simulizi ya Said Miraj katika kumbukumbuku ya mauwaji hayo kwa mwaka huu wa 2026 ikiwa ni miaka 25 tangu yafanyike. Video hii ni sehemu tu ya mahojiano kamili yalochapishwa na chaneli ya Gumzo la Ghassani ambao ndio wamiliki na waandaji. Ukiyataka kwa kina tafadhali watembee kwenye channel yao.