У нас вы можете посмотреть бесплатно MAZISHI YA WATANZANIA WALIOFARIKI KWENYE AJALI YA MV NYERERE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Tarehe 20 Septemba 2018 Tanzania ilipata pigo baada ya kivuko cha MV Nyerere kilichokuwa kikifanya safari zake kati ya kisiwa cha Bugolora na Ukara kupinduka na kuzama kikiwa umbali wa mita zisizozidi 150 kufika pwani ya Ukara. Kufuatia ajali hiyo zaidi ya watu 200 walipoteza maisha huku watu 41 wakitambuliwa na Serikali kunusurika kwenye ajali hiyo. Rais John Magufuli akatangaza siku 4 za maombolezo kuanzia tarehe 21 hadi 24 Septemba. Sambamba na hilo mnamo tarehe 23 Septemba Tanzania ikafanya maziko ya kitaifa ya (baadhi) miili iliyoopolewa kwenye ajali hiyo. Haya hapa ni matangazo ya shughuli nzima ya maziko ya kitaifa yaliyorushwa moja kwa moja na #AzamTWO