У нас вы можете посмотреть бесплатно WAREMBO WATINGA VETA GEITA , WAPIGA MIAKA MIWILI UFUNDI BOMBA ,WAFUNGUKA MAZITO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Idadi kubwa ya wanawake katika Manispaa ya Geita, mkoani Geita, wameanza kujitokeza kwa wingi kuchangamkia fursa ya mafunzo ya ufundi stadi yanayotolewa na Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) mkoani humo, ikiwa ni hatua muhimu ya kujiondoa kwenye utegemezi wa kifamilia na kufungua milango ya kujitegemea kiuchumi. Miongoni mwa fani hizo ni Ufundi Bomba na Umeme wa Majumbani, maeneo ambayo zamani wanawake wengi walihofia kujitokeza kutokana na mtazamo kandamizi wa kijamii na changamoto za kimazingira.