У нас вы можете посмотреть бесплатно MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAZAZI WILAYA MONDULI KISIOK AZINDUA KAMPENI ZA UDIWANI KATA YA MTO WA MBU или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kampeni za Ccm zaendelea kushika Kasi wilaya ya Monduli, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi na Mgombea udiwani Kata ya Selela Ndg Kisiok Moitiko aliepita bila kupingwa amezindua kampeni za Udiwani Kata ya Mto wa mbu kwa kumnadi Mgombea Ndg.Musa Mungia Katika viwanja vya shule Msingi Jangwani. Hata hivyo Ndg Kisioki amewaomba Wananchi wa wilaya ya Monduli wakipe kura za Kishindo Chama cha Mapinduzi kwakuwa kumpa kura za Kishindo Dkt.Samia Suluhu Hassan ambaye ni Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa jimbo la Monduli Ndg.Isack Joseph Copriano na Kumchagua Diwani kata Cccm Kata ya Mto wa mbu ili kuungana na kuwaletea Wananchi kata ya Mto wa Mbu Maendeleo. Hata hivyo Mgombea Udiwani amesema “ kwa sasa hivi naijua Halmashuri amajua agonge milango ipi na kufungua ili kuwaletea Wananchi maendeleo na kusisitiza hata wavumilia watendaji wazembe kwa kukemea uzembe na kutaka kusimamia miradi inayoletwa ikamilike kwa wakati ili wananchi wanufaike. Nao Viongozi wengine wa chama Cha Mapinduzi akiwemi Katibu wa Chama Ndg.Rukia Mbasha amewaomba wananchi kukichagua chama cha Mapinduzi kwakuwa chama kinajua changamoto za wananchi na kuwaombea kura Wangombea wa chama cha Mapinduzi kwa Nafasi ya Urais kwa Dkt Samia na Kwa Nafasi Ubunge Isack Joseph Copriano. Huu Mwendelezo wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani za Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye Maeneo ambalimbali ya wilaya ya Mondul,Huku Uchaguzi Mkuu unatarajiwa kufanyika Oktoba 29, Mwaka 2025 ambapo wananchi watachagua viongozi wao kwa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Ubunge na Udiwani.