У нас вы можете посмотреть бесплатно MGOMBEA UDIWANI KATA YA NAALARAMI EDWARD LENANU AMEZINDUA KAMPENI ZA UDIWANI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Nimwendelezo wa Kampeni za Udiwani ambapo kila kata Imendeleea kuzindua kampeni za Udiwani jimbo la Monduli. Akimnadi Mgobea udiwani Ndg Edward Lenanuu ndugu Isack Joseph amewaomba wananchi kata ya Naalarami kumchagua Edward Lenanuu Mgombea Udiwani kata Ya Naalarami ili aende akaungane na Mbunge na Rais ili kuwaletea wananchi Maendeleo. Nae Ndg Lenanuu amesema chini ya uongozi wake atahakikisha analigania miradi ya maendeleo ili iweze kuwanufaisha wananchi. Katibu wa chama cha Mapinduzi Ccm Ndg.Rukia Mbasha pamoja na Diwani Vitimaalum Ndg Pulina Richard wamewaomba wananchi kumchagua Rais Dkt Samia na Isack Josep Kwa nafasi ya Ubunge pamoja na madiwani wote wa ccm wa Wilaya ya Monduli.