У нас вы можете посмотреть бесплатно MBUNGE MTEULE WA VITI MAALUMU ARUSHA MARIRTA GIDO AMEZINDUA KAMPENI ZA UDIWANI MONDULI MJINI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Leo Tarehe 04/10/2025 Mbunge wa Viti Maalumu Arusha Marirta Gido amezindua kampani za Udiwani kata ya Monduli Mjini kwa Kumnadi Mgombea Udiwani Kata hiyo Ndg. Hussein Ole Kuney katika Viwanja vya Soko la alhamisi. Hata Hivyo Mbunge huyo Mteule amewaomba wananchi wa kata ya Monduli mjini kwa unyenyekevu kwa kuwaomba kura za mafiga matatu na kuomba kura ya Mgombea Urais Dkt Samia kwani kwa wilaya ya Monduli ameleta fedha nyingi za Miradi ya Maendeleo iliyogusa sekta ya Afya na miundombinu mingine. Amesisitiza Kupitia ilani ya Chama cha Mpinduzi Ccm ya mwaka 2025 hadi 203O kuna mambo ambayo chama cha Mapinduzi kimepanga kwenda kufanya maendeleo katika kata ya Monduli. Nae Mgombea Udiwani amesema vipaumbele vyake kama mgombea udiwani kuwainua wananchi kiuchumi kwa kuweka mazingira rafiki katika nyanja zote kwa kuwa Sauti yao katika Baraza la Madiwani.