У нас вы можете посмотреть бесплатно Sheikh Nurdin Kishki - Wasia wa Luqman или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Assalam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh; Sheikh Nurdin Kishki ametuletea mawaidha mazuri juu ya wasia wa Luqman kwa watoto wake Katika sehemu hii, utapata ingawa kwa ufupi wasia alioutowa luqman kwa mwanae. Kwa hikma ya kisa hiki cha mja huyu mwema ndani ya Qur’an ni kwa malengo yetu sote na pili umuhimu wetu kuwa nasihi watoto wetu katika ibada. #SheikhNurdinKishkiWasiawaLuqman #WasiawaLuqmankwamwanae #WasiawaLuqmankwawatotowake #wosiawaLuqman Katika nasaha alizompatia mwanawe ni kuwatendea wema wazazi, kutokua na kibri, kusimamisha Swalah, kuamrisha mema na kukataza maovu, kusubiri, kutonyanyua sauti na kadhalika kama Alivyotupa maelezo hayo Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala): ‘Ewe mwanangu! Kikiwapo kitu cha uzito wa chembe ya khardali kikawa ndani ya jabali au ndani ya mbingu au ndani ya ardhi, basi Allaah Atakileta. Hakika Allaah ni Mjuzi wa yaliyofichika, Mwenye khabari za yote’. ‘Ewe mwanangu! Shika Swalah, na amrisha mema, na kataza maovu, na subiri kwa yanayo kupata. Hayo ni katika mambo ya kuazimiwa’ ‘Wala usiwabeuwe watu, wala usitembee katika nchi kwa maringo. Hakika Allaah Hampendi kila anayejivuna na kujifakhirisha‘ [Luqmaan:16-18]