У нас вы можете посмотреть бесплатно Saikolojia 6 Nzito za Mtoto wa Kwanza Ambazo Familia Nyingi HAZIJUI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Je, wewe ni mtoto wa kwanza au unaishi na mtoto wa kwanza? Saikolojia inafichua ukweli mzito ambao familia nyingi hazijui. Katika video hii, tunachambua Saikolojia 6 Nzito za Mtoto wa Kwanza kwa kutumia Birth Order Theory ya Alfred Adler. Hii sio stori za mitaani — ni sayansi halisi ya malezi na akili ya binadamu. Utajifunza: – Kwa nini watoto wa kwanza wana anxiety na hofu ya kukosea – Kwa nini wanakuwa viongozi lakini wapweke – Kwa nini wanakuwa perfectionists na people pleasers – Kosa kubwa ambalo wazazi wengi hufanya bila kujua – Jinsi malezi ya utotoni yanavyoathiri mahusiano ya ukubwani 👉 Kama wewe ni mtoto wa kwanza, video hii itakusaidia kujielewa na kujisamehe 👉 Kama wewe ni mzazi, video hii itabadilisha kabisa namna unavyomlea mwanao 👇 Andika COMMENT: ✍️ “FIRSTBORN” kama wewe ni mtoto wa kwanza au una mtoto wa kwanza ✍️ Ni pointi gani imekugusa zaidi? 🔔 SUBSCRIBE kwa saikolojia ya mtoto wa kati na wa mwisho Kumbuka: Kulea ni sayansi na sanaa. #MtotoWaKwanza#Saikolojia#fafanuomedia #knowledgeforyourfuture #tujengemahusiano #BirthOrderPsychology #Malezi #ParentingAfrica #Anxiety #FirstBorn #SaikolojiaYaFamilia #MentalHealthAfrica #PsychologySwahili