У нас вы можете посмотреть бесплатно MKIAMBIWA MWENYEKITI NA RAIS WENU MUUAJI WAAMBIE NI KWELI" RAIS SAMIA ASIKITISHWA NA KUFUGUKA HAYA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
@millardayoTZA Rais wa Tanzania, Samia Suluhu akifunga Kikao Maalum cha Baraza Kuu la Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) Taifa kilichofanyia Songea Mkoa wa Ruvuma ameelaeza kusikitishwa na mengi yanayosemwa na kushambuliwa kuhusu yeye "Msimame tu mjibu ndugu zangu hakuna cha kuhofia mkiambiwa mwenyekiti wetu Rais wenu muuaji wambie ni kweli ameua nguvu haki ya upinzani, mkiambiwa Rais wenu muuaji wambie kweli ameua njia zote za kudhibiti umaskini ndani ya nchi hii na amekuza uchumi wa Nchi hii, mkiambiwa mwenyekiti na Rais wenu muuaji wambie ni kweli ameua giza lililokuwa limekubika Tanzania na kwamba sasa Tanzania katika kiwango cha kimataifa inag'ara hayo ndiyo niliyoua Rais wenu na mwenyekiti wenu sijawai kuua mtu labda sisimizi nimeua lakini sio mtu, kwahiyo simameni tu mjibu" Rais Samia