У нас вы можете посмотреть бесплатно ALICHOKISEMA PROF.MKENDA BAADA YA KUFIKA KWENYE ENEO LA MRADI WA UJENZI WA CHUO CHA ARDHI MWANZA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa.Adolf Mkenda ametoa maelekezo kwa uongozi wa Chuo Kikuu cha Ardhi kuhakikisha kinaandaa wakufunzi wa kutosha kwaajili ya Chuo Kikuu Ardhi (ARU) Kampasi ya Mwanza kinachotarajiwa kuanza kujengwa hivi karibuni katika Kijiji cha Karumo Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza. Profesa.Mkenda ameyasema hayo Mara baada ya kutembelea na kufanya ukaguzi katika eneo ambalo kitajengwa Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU)Kampasi ya Mwanza, huku akisema kuwa kutokana na adhma ya Serikali ya kuboresha sekta ya Elimu kwa kuwekeza fedha nyingi katika Mradi huo ni vyema uongozi wa chuo hicho ukaendelea na jitihada za kuhakikisha wakufunzi wa kutosha wanapatikana ikiwa ni pamoja na wengine kupelekwa nje ya Nchi kwaajili ya kujifunza zaidi. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09