У нас вы можете посмотреть бесплатно AIC INJILI CHOIR, NGUDU - ULIMI (Official Video) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#gospel songs, #nyimbo za injili, #gospel mix, #gospel music Kumsifu Mungu kunawapasa wanyofu wa Moyo. Tutamsifu Mungu kwa kila hali, kwa vinanda, vinubi, kwa matari na Michezo. Kucheza mbele za Mungu ni kumrudishia sifa kwa yale yote makuu aliyoyatenda maishani mwetu. Kila sifa njema yafaa mbele za Mungu. Barikiwa kila unapoangalia na kusikiliza ujumbe huu, Mungu wa mbinguni azidi kukubariki. Usiache kulike,share pia kusubscribe. Mazuri yanakuja usipitwe. Ulimi ni kiungo kidogo sana, lakini madhara yake ni makubwa sana. Kwa ulimi unaweza kubariki, na kwa ulimi huohuo waweza kulaani na kuangamiza. Kuwa makini sana na unavyoutumia ulimi wako. #Ulimi. #Aic Ngudu #