У нас вы можете посмотреть бесплатно TMDA yaonya matumizi holela ya dawa, wakutana na wadau Mwanza. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) kwa kushirikiana na Baraza la Wafamasia Kanda ya Ziwa Mashariki, leo Desemba 30, 2025, wamekutana na wadau wa dawa pamoja na wamiliki wa maduka ya dawa muhimu kwa lengo la kujadili namna bora ya utekelezaji wa sheria ya matumizi ya dawa ili kulinda afya za wananchi. Wakizungumza baada ya kikao hicho, baadhi ya wananchi na wadau kutoka Halmashauri za Wilaya ya Sengerema na Buchosa mkoani Mwanza, wameeleza sababu mbalimbali zinazochangia wananchi kununua dawa bila kuwa na cheti cha daktari, ikiwemo uelewa mdogo wa matumizi sahihi ya dawa na changamoto za upatikanaji wa huduma za afya. Katika kikao hicho, jumla ya wamiliki wa maduka ya dawa muhimu 183 walishiriki kujadili mikakati ya kudhibiti changamoto za kiafya zinazotokana na matumizi yasiyo sahihi ya dawa, ikiwemo usugu wa vimelea unaosababishwa na matumizi holela ya dawa. TMDA imeeleza kuwa itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali kuhakikisha sheria za dawa zinatekelezwa ipasavyo kwa lengo la kulinda afya za wananchi.