У нас вы можете посмотреть бесплатно WAZIRI MKUU MAJALIWA KUWEKA JIWE LA MSINGI KITEGA UCHUMI - KANGE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika kuhadhimisha miaka 60 ya Muungano Mkuu wa Mkoa wa Tanga Balozi Dkt. Batilda Buriani amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kumlaki waziri mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa anaetarajiwa kufika katika mkoa wa Tanga kwa lengo la kuweka jiwe la msingi ujenzi wa mradi wa kitega uchumi Dkt.Samia Suluhu Hassan Business Centre katika kituo cha Mabasi Jijini Tanga. Batilda amesema hayo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari Ofisini kwake na kusema kuwa mradi huo wa kitega uchumi umeghalimu zaidi ya shilingi bilioni 8 na mpaka sasa Jengo limekamilika kwa asilimia 98 tayari kwa wafanyabiashara kufanya biashara katika eneo hilo na kukuza uchumi wa Jiji na mkoa wa Tanga.