У нас вы можете посмотреть бесплатно TRA TANGA YAADHIMISHA SIKU YA FORODHA DUNIANI KWA KUTOA ELIMU KWA WAJASIRIAMALI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika kuadhimisha siku ya forodha duniani ambayo huadhimishwa Januari 26 kila mwaka, Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Mkoa wa Tanga imekutana na kutoa elimu kwa wajasiriamali kutoka vyama vya TWCC, TNCC pamoja na vyuo vikuu lengo ikiwa ni kujenga misingi imara ya kuleta maendeleo na ulipaji wa kodi kwa hiari. Akizungumza katika maadhimisho hayo Katibu Tawala Wilaya ya Tanga Anjela Mono ambae ni Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya hiyo amewataka wajasiriamali hao kufuata sheria na taratibu za forodha ili kufanya kazi kwa uhuru katika kukuza uchumi wa taifa na kulinda afya za wananchi kwa kuzuia magendo kuingia nchini Aidha Joseph Raymond ambae ni Meneja Msaidizi kwa upande wa forodha Mkoa wa Tanga amesema dhima ya maadhimisho hayo kwa mwaka huu ni kuwa makini na kujitoa katika kulinda jamii kwa kuhakikisha bidhaa zinazopika katika mipaka zinakuwa zenye ubora na uhalali kwajili ya matumizi Hata hivyo Afisa Forodha Mkuu Mathern Mhelela amesema hakuna sababu ya kukwepa kupitisha bidhaa kwa njia halali kwani Mamlaka hiyo imeweka njia rafiki kuwezesha wafanyabiashara kumudu gharama za kuendesha biashara zao Nao baadhi ya waliopata mafunzo hayo wakaeleza umuhimu wa mafunzo hayo na ulipaji wa kodi kwa hiari na kutoa rai kwa wafanyabiashara wengine kutumia njia sahihi za uendeshaji wa biashara kwa maendeleo endelevu ya Nchi.