У нас вы можете посмотреть бесплатно KIPINDI MAALUM BENKI KUU YA TANZANIA - IDARA YA KUMLINDA MTUMIAJI WA HUDUMA ZA KIFEDHA. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Benki kuu ya Tanzania (BOT) Kupitia Idara ya Kumlinda Mtumiaji wa Huduma za kifedha imefanya mahojiano mbashara na kituo cha Tanga television. Katika mahojiano hayo Afisa Sheria Mwandamizi wa kurugenzi ya ustawi na huduma jumuishi za kifedha (BOT) Ramadhan Myonga amesema wananchi wanapaswa kuwa na elimu juu ya huduma za kifedha hasa pindi wanapopanga au kuhitaji kuchukua mikopo katika Taasisi mbalimbali ili kujiepusha na migogoro inayojitokeza wakati wa urejeshaji mikopo. Benki kuu ya Tanzania kupitia idara ya Kumlinda Mtumiaji wa Huduma za Kifedha inashiriki maadhimisho ya wiki ya huduma za kifedha yanayofanyika katika viwanja vya Usagara Jijini Tanga. Maadhimisho hayo yamebeba kauli mbiu isemayo "Elimu ya Fedha ni msingi wa maendeleo ya kiuchumi na Jamii".