У нас вы можете посмотреть бесплатно WANANCHI RONDO WAMLILIA MEMBE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wananchi wa kijjji cha Rondo kata ya Chiponda halmashauri ya Mtama Mkoani Lindi wamepokea kwa masikitiko makubwa msiba wa aliekuwa mbunge wa jimbo la mtama kuanzia mwaka 2020 hadi 2015 na waziri wa mambo ya nchi za nje ya na ushirikiano wa kimataifa Bernard Membe aliefariki leo katika hospitali ya Kairuki jijini Dar es salaam alipokuwa akipatiwa matibabu. Wakizungumza kwa nyakati tofauti wananchi hao akiwamo Rukia Saidi na Omary Mchia, wamesema watamkumbuka Bernad Membe kwa mambo mengi mazuri aliowatendea katika nyanja mbalimbali ikiwemo ujenzi wa barabara, kituo cha afya pamoja ujenzi wa nyumba za ibada huku wakimuelezea kiongozi huyo kuwa alikuwa shupavu na mtenda haki kwa jamii PIA USIACHE KU SUBSCRIBE CHANNEL YETU Khomein Tv YOUTUBE UWE WAKWANZA KUFIKIWA NA HABARI ZETU