Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Alice Kimanzi - Waambie |Official CRM Video| в хорошем качестве

Alice Kimanzi - Waambie |Official CRM Video| 7 лет назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Alice Kimanzi - Waambie |Official CRM Video|

I wrote this song for a friend's wedding, and I hope it will serve future brides at their nuptials. May this song also be a prophecy to all those believing God for their significant other. God bless!! Music : Gydkym Music Video : Crosslife Movement Director : Bakari Ousman Follow Alice Kimanzi On: IG: @alicekimanzi Twitter: @alicekimanzi254 Facebook: @ Alice Kimanzi LYRICS: VERSE 1: Usingizi kanitoroka Moyoni nakesha ngoma Kwa subira nimengoja Penzi hili la thamana Tangu tulipokutana nafsi zetu kapatana Na ni mbali tumetoka tangu kuchumbiana Siku yetu imefika hakuna ataye zuia Ajalie Maulana pete tutavishana CHORUS: Waambie mie...nimeshapatikana Na yule mume...wamapenzi 'shanienzi Waambie mie...milele nishazama Sinitafute kule...kwa mabinti nishahama Angalia ishara tazama ishara Angalia ishara mi nishazama Angalia ishara tazama ishara Angalia ishara mi nishahama VERSE 2: Kuna wale wanasema ndoa haidumu tena Yaje maji na mafuriko Tayari tusha tia nanga Nimempata yule wangu Kampenda na vyote vyangu Sitaja sahau amenivisha dhahabu Nimempata yule wangu Kampenda na vyote vyangu Simulia walimwengu nishampa moyo wangu BRIDGE: Eh Mola tusaidie kwa wema wako Tuwe na ndoa yenye furaha Milele hadi milele

Comments