У нас вы можете посмотреть бесплатно PAWA POD | S01 EP3: USIYOYAJUA KUHUSU MIFUMO WA KIDIGITALI -SACCOS или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika episode hii, tunazungumza na Abduel Samson Kivuyo, Mtendaji Mkuu wa Wazohill SACCOS na mshauri wa fedha aliyeidhinishwa (Certified Financial Coach), kuhusu mapinduzi ya teknolojia kwenye SACCOS Tanzania. Mada kuu tulizogusia: • Maendeleo ya TEHAMA kwenye vyama vya akiba na mikopo • Faida za tehama kwa wanachama wa SACCOS • Changamoto zinazokwamisha SACCOS ndogo kuingia kwenye mfumo wa kidigitali • Jinsi AI (akili mnemba) inavyoweza kusaidia kupunguza mikopo chechefu • Ushirikiano wa mifumo ya SACCOS na NIDA, Credit Reference Bureaus • Umuhimu wa elimu ya fedha kupitia mitandao ya kijamii na mobile apps • Suluhisho kupitia shared systems kama mfumo wa SOMA 👉 Bonyeza hapa kusubscribe: / @sccultonlivetv 💬 SWALI KWAKO: Je, unadhani matumizi ya TEHAMA kwenye SACCOS yanaongeza mapato na kupunguza gharama kwa SACCOS na wanachama ? Toa maoni yako kwenye comment! Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii: TikTok: https://www.tiktok.com/@pawapod?_t=ZM... Instagram: / pawapodpodc. . Fuatilia miradi yetu kupitia: Website: https://sparkassenstiftung-easternafr.... Website: https://sccult.tz Facebook: / dsik.ea Facebook: / sccult-1992-ltd-102226338336426 LinkedIn: / german-sparkassenstiftung-eastern-africa . #SACCOS #PawaPod #digital #finance #Tech4SACCOS #WazohillSACCOS #financialliteracy #DSIK #SCCULT #podcast #ushirika #elimuyafedha #ai #fintech #technology #youth #womenempowerment #greeninvestment