У нас вы можете посмотреть бесплатно PAWA POD S01 EPISODE 1|NAMNA SACCOS ZINAVYOBADILI MAISHA: UWEZESHAJI WA VIJANA NA WANAWAKE TANZANIA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu kwenye Episode ya kwanza ya Pawa Pod! Katika episode hii ya kwanza, tunazungumzia kwa kina kuhusu SACCOS na namna vinavyobadili maisha ya watanzania hasa kwa vijana na wanawake. Utajifunza nini katika episode hii: • SACCOS ni nini na zinafanyaje kazi? • Jinsi SACCOS zinavyowasaidia wanachama katika elimu ya fedha, ujasiriamali na uwekezaji • Changamoto zinazozikumba SACCOS na suluhisho la kuimarisha huduma zao • Ushauri muhimu kwa vijana na wanawake kuhusu namna ya kupata mitaji na kujitegemea kifedha • Hatua rahisi za kujiunga na SACCOS na kuanza kunufaika leo! 🧠 Kama wewe ni mgeni kwenye SACCOS au tayari ni mwanachama, episode hii ni kwa ajili yako. 👉 Usisahau ku-subscribe kwenye channel yetu SCCULT Online TV, tufuatilie kwenye TikTok na Instagram (Pawa PodPodcast), na washirikishe marafiki zako ili nao wajifunze! 📞 Maoni au maswali? Tutumie ujumbe 0748 356 783 #PawaPod #SACCOS #Ushirika #Youthempowerment #Wanawakenamaendeleo #Financialliteracy #Elimuyafedha #EntrepreneurshipTZ #Wealthcreation #Maishabora #Tanzaniayouth #Investsmart #Changamotonafursa #Vijananauchumi #Womeninbusiness #Savingculture #Uchumijumuishi #Smartloans #Digitalcooperatives #Fursakwavijana