У нас вы можете посмотреть бесплатно PAWA POD | S01 EP2: WEKEZA KWENYE HISA HATA KWA MTAJI MDOGO – HISA SIO KWA MATAJIRI TU! или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika episode hii tunazungumzia kuhusu uwekezaji wa hisa kwa Mtanzania wa kawaida. Wengi huamini kuwa soko la hisa ni kwa watu wenye pesa nyingi tu lakini leo tunakuonyesha jinsi unaweza kuanza kwa mtaji mdogo kabisa! Utajifunza mambo muhimu kama: ✅ Hisa ni nini na zinafanyaje kazi Tanzania ✅ Faida na changamoto za kuwekeza ✅ Jinsi ya kuanza hata ukiwa na elfu kumi Hii ni elimu ya fedha inayolenga kukuinua wewe kijana, mwanamke, mfanyakazi au mjasiriamali mdogo. Hisa si kwa matajiri pekee, ni kwa kila Mtanzania mwenye ndoto ya kuwa na utajiri wa muda mrefu. Tufuatilie kupitia mitandao ya kijamii: Instagram: / pawapodpodcast TikTok: / pawapodpodcast 📺 Subscribe kwenye channel yetu ya YouTube – SCCULT Online TV kwa vipindi zaidi / @sccultonlinetv #PawaPod #DSE #SACCOS #Ushirika #Youthempowerment #Wanawakenamaendeleo #Financialliteracy #Elimuyafedha #EntrepreneurshipTZ #Wealthcreation #Maishabora #Tanzaniayouth #Investsmart #Changamotonafursa #Vijananauchumi #Womeninbusiness #Savingculture #Uchumijumuishi #Smartloans #Digitalcooperatives #Fursakwavijana