У нас вы можете посмотреть бесплатно Mauzo Makubwa Hayahitaji Akili Sana, Bali Vitu Viwili.... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MAUZO MAKUBWA HAYAHITAJI AKILI SANA, BALI VITU VIWILI TU Biashara nyingi hazifi kwa sababu bidhaa au huduma zao ni mbaya, bali kwa sababu hakuna mauzo ya kutosha. Inawezekana kabisa kuwa na bidhaa au huduma bora ambayo watu wanaihitaji, lakini kama hakuna mfumo wa kuuza, biashara hiyo itaendelea kudumaa. Ukweli ni kwamba kufanya mauzo makubwa hakuhitaji ujanja mwingi wala akili ya kipekee. Kinachohitajika ni kuelewa mambo mawili muhimu sana kwenye biashara. Kwanza ni kupata wateja sahihi – watu ambao wana uhitaji wa kile unachouza, wana uwezo wa kulipia na wako tayari kufanya hivyo. Pili ni kuhakikisha wateja wananunua, wanarudi tena kununua na wanawaleta wengine kununua. Biashara nyingi zinaweza kuwafikia watu wenye uhitaji, lakini zinashindwa kuwashawishi kununua au kuwafanya warudi tena. Hivyo siri ya mauzo makubwa si mbinu ngumu, bali mfumo sahihi wa kupata wateja na kuwafuatilia mpaka wanunue. Hicho ndicho kiini cha kitabu MAUZO YA UHAKIKA — kukupa mfumo wa kufuatilia wateja kwa nidhamu na kwa muda mrefu, mpaka mauzo yako yawe ya uhakika na siyo ya kubahatisha. Unataka kujifunza mfumo kamili wa kufanya mauzo ya uhakika? Pata kitabu MAUZO YA UHAKIKA kwa kuwasiliana na: 0756694090 Kutoka Kitabuni.