У нас вы можете посмотреть бесплатно DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Podcast | Mchana | Januari, 23 2026 | Swahili News или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Tuliyokuandala katika Dunia Yetu Leo Mchana siku ya leo ni pamoja na:- Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameukosoa Umoja wa Ulaya kwa kukosa “nia ya kisiasa” kukabiliana na kiongozi wa Urusi Vladimir Putin. Viongozi wa Ulaya wameonyesha mashaka kuhusu “Bodi ya Amani” iliyoanzishwa na Rais Donald Trump, ingawa wamesema wako tayari kushirikiana na Marekani kuhusu Gaza. #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast #dwkiswahiliasubuhi #Matangazo #DuniaYetu #dwswahilinews Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.