У нас вы можете посмотреть бесплатно Wazee Kwamsisi Handeni waweka bayana suala la tambiko lao или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wazee wa kamati ya tambiko kwaajili ya kubariki ujenzi wa barabara ya Afrika Mashariki inayopita katika kata ya Kwamsisi wilayani Handeni mkoani Tanga, wamebariki kuendelea kwa ujenzi wa mradi huo huku wakisema hawawezi kuzuia ujenzi huo kupita kwenye eneo lao kwani ni mradi muhimu kwa maendeleo yao. Wakizungumza na Mwananchi Digital kijijini hapo wamesema kuwa kilichotokea walipokaa na Serikali kujadili ujenzi walipewa taarifa kwamba mradi utapita kwenye msitu wao wa hifadhi, ambao ndani yake kuna chanzo cha maji lakini pia ni eneo ambalo wanafanyia matambiko yao