У нас вы можете посмотреть бесплатно AFRICA INATEKELEZAJE HAYA MAONO YA MWALIMU или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Africa ni moja wapi ya mabara ambayo yamekumbwa kabisa na changamoto ao matatizo mazito sana kihistoria hata sasa. Moja ya matatizo mazito haya ni #UKOLONI ambao hata leo maafa yake barani #africa ni mengi mno. Hata hivi, Africa ilikuwa na WATOTO wake, ambao leo ni mababu zetu sisi, ambao walisimama kupinga utawala wa wakoloni na kupambania #haki #heshima #ukombozi na #tamaduni za africa. Walipiga vita vyema pasipo kuyaona matatizo yao wenyewe, waliteteya africa mpaka kufa. Myongoni mwao ni kina: Patrice #lumumba (Congo) Julius #nyerere (Tanzania) Nelson #mandela (South Africa) Thomas #sankara (Burkina faso) Kwamé Nkrumah #mobutu seseseko Na wengine wengi ambao waliteteya Africa hadi kufa. Katika video hii, utamsikiliza mwalimu Julius Kambarage Nyerere, baba wa taifa la Tanzania, Raisi wa kwanza wa Tz na kiongozi wa chama cha siasa "CCM" Chama Cha Mapinduzi. Tunataka uweze kusikiya maono aliyo kuwa nayo Baba, halafu upime kuangalia kama Tanzania na Africa aliyo itaka ndiyo iliyoko leo. SWALI: Aliko Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, anaweza kujisifiya Tanzania na Africa ya leo kulingana na maono aliyo kuwa nayo? TUAMBIYE NDANI YA COMMENT🙏 Kama bado huja jiunga nasi, tafazali bonyeza SUBSCRIBE, halafu LIKE na SHARE pia video hii kwa watu ambao ungetaka wasikilize maono haya ya Baba wa taifa, Julius Kambarage Nyerere. #dannymurhulav #nyerere #tanzania #africa #historia