У нас вы можете посмотреть бесплатно MAAFISA 87 WA USALAMA KAUNTI YA MARSABIT WAPOKEA MAFUNZO KUHUSU AFYA YA AKILI. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Zaidi ya maafisa 87 wa usalama Marsabit wamepokea mafunzo kuhusu afya ya akili kwa lengo la kupunguza visa vya kujitoa uhai vinavyo aminika kuletwa na msongo wa mawazo. Akizungumza na wanahabari hii leo, mkuu wa idara ya uchaplaini katika idara ya polisi Francis Kooli amesema kwamba idara hii imebuni mikakati ya kutoa hamasa kwa polisi kuhusu msongo wa mawazo, ili kuwasaidia maafisa wa usalama kupata muongozo ambao utawasaidia wanapokumbana na changamoto kazini. Kooli amesema kuwa mpango huu ulianzishwa baada ya ongezeko la visa vya kujitoa miongoni mwa maafisa hao