У нас вы можете посмотреть бесплатно TINA: SIMULIZI FUPI YA SAUTI. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mwanadada Christina ambaye anaisha na bibi yake tu, wazazi wake walishafariki, lakini kutokana na maisha kuwa magumu akaamua kwenda kuishi kwa mamkubwa wake ambako huko alikutana na mtoto wa huyo mamkubwa wake (Fausta) ambaye hakuwa na tabia nzuri akaamua kuwaleta marafiki zake wakiume (wawili) nyumbani kipindi ambapo wazazi wake hawapo na akashirikiananao ili waweze kumbaka tina, na wakati huo wote walikuwa ni wanafunzi, Je kwanini Fausta aliamua kuleta wanaume wambake Tina? Je! Tina alipata mimba? na kama alipata mimba ilikuwa ni yanani kati hao wawili? Na maisha yapi Tina aliyapitia baada ya kubakwa? Karibu sana ufahamu mwanzo mwisho katika simulizi hii, kisha utaacha comment yako…. MSIMULIAJI NI LUCAS LUMBASI NA MTUNZI NI ARNOLD MACHAVO