У нас вы можете посмотреть бесплатно Jinsi ya Kutengeneza PowerPoint kwa Simu Pekee | PowerPoint Tutorial Kiswahili или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Je, una simu tu lakini unahitaji kutengeneza PowerPoint presentation ya kitaalamu? Katika video hii, nitakuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kutumia Microsoft PowerPoint kwenye simu — bila laptop kabisa. Tutaanza mwanzo kabisa hadi mwisho: kuunda slides, kuandika maandishi, kuongeza picha, kubadilisha design, kuweka animations na transitions, kisha ku-save na kuonyesha presentation yako moja kwa moja kwenye simu 📱. Video hii ni rafiki kwa wanaoanza na pia itakusaidia kama unataka kufanya presentation haraka kwa shule, kazi, au meeting yoyote. 🌍 Tembelea website yangu kwa mafunzo zaidi ya teknolojia: 👉 https://hendrytechfamily.wordpress.com ⏱️ TIMESTAMPS (Hatua kwa Hatua) 0:00 Intro 0:31 Download Microsoft PowerPoint app 0:50 App overview (interface ya PowerPoint kwenye simu) 1:06 Kuanza na blank presentation 1:25 Kuongeza slides 1:35 Kubadilisha slide layout 1:54 Kuanza kuandika content 2:42 Kuongeza picha na ku-customize 4:10 Kubadilisha na kuhariri maandishi 4:52 Kubadilisha design / theme 6:05 Kuongeza transitions 7:23 Kuongeza animations 7:46 Ku-save presentation 8:11 Kuanza slide show 9:22 Wrap up / Outro