У нас вы можете посмотреть бесплатно DED IRAFAY AWASHUKURU WADAU KWA KUSHIRIKI KONGAMANO LA UFUNGUZI WA MSIMU WA KILIMO 2025/26 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
DED IRAFAY AWASHUKURU WADAU KWA KUSHIRIKI KONGAMANO LA UFUNGUZI WA MSIMU WA KILIMO 2025/26 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang Teresia Irafay Oktoba 10. 2025 alihitimisha kongamano la ufundi wa msimu wa kilimo wa 2025/2026 kwa kuahidi kuendelea kuboresha huduma za ugani ili kuwanufaisha wananchi. Kongamano hilo la siku mbili limewakutanisha wazalishaji na wasambazaji wa mbegu, mbolea, zana za kilimo, mawakala wa pembejeo pamoja na taasisi za serikali kama TFRA, ASA, TOSCI, TVLA na TMA, lengo likiwa ni kuunganisha nguvu katika kuinua sekta ya kilimo na mifugo wilayani hapa. Pamoja na shughuli ya kusajili wakulima kwa ajili ya ruzuku ya pembejeo, washiriki wanapata nafasi ya kupata elimu kuhusu mbegu bora, usajili wa masoko na ushirika, udhibiti wa magonjwa na wadudu, na fursa za uwekezaji katika sekta hiyo.