• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

MGODI WA MADINI YA NIKELI ,WAZIRI WA MADINI BURUNDI Mhe. IBRAHIM UWIZEYE AFIKA KUJIFUNZA скачать в хорошем качестве

MGODI WA MADINI YA NIKELI ,WAZIRI WA MADINI BURUNDI Mhe. IBRAHIM UWIZEYE AFIKA KUJIFUNZA 3 года назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
MGODI WA MADINI YA NIKELI ,WAZIRI WA MADINI BURUNDI Mhe. IBRAHIM UWIZEYE AFIKA KUJIFUNZA
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: MGODI WA MADINI YA NIKELI ,WAZIRI WA MADINI BURUNDI Mhe. IBRAHIM UWIZEYE AFIKA KUJIFUNZA в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно MGODI WA MADINI YA NIKELI ,WAZIRI WA MADINI BURUNDI Mhe. IBRAHIM UWIZEYE AFIKA KUJIFUNZA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон MGODI WA MADINI YA NIKELI ,WAZIRI WA MADINI BURUNDI Mhe. IBRAHIM UWIZEYE AFIKA KUJIFUNZA в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



MGODI WA MADINI YA NIKELI ,WAZIRI WA MADINI BURUNDI Mhe. IBRAHIM UWIZEYE AFIKA KUJIFUNZA

Ziara ya Waziri wa Nishati na Madini wa Burundi nchini inakuja baada ya kuhudhuria mkutano wa madini ambao ulikuwa wa manufaa kwa nchi hiyo. Hivyo, alimuomba Waziri wa Madini kuja kujifunza zaidi kutoka kwa Tanzania kutokana na namna ilivyofanikiwa katika usimamizi wa Sekta ya Madini ikiwemo utekelezaji wa miradi mikubwa ya madini ili hatimaye rasilimali madini zinazopatikana nchini Burundi zilinufaishe taifa hilo. Akizungumzia lengo la ziara hiyo, Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amesema imelenga kujifunza kupitia mradi huo ili kuona namna ambavyo nchi hiyo inaweza kujifunza kutoka Tanzania na namna ambavyo nchi hizo zinavyoweza kushirikiana katika utekelezaji wa miradi ya namna hiyo na kuongeza kuwa, ni mapema sana kusema kitakachofuata baada ya ziara hiyo. “Mradi wa Kabanga Nikeli na Msongati nchini Burundi ni mmoja, jiolojia ya Kabanga na Msongati ni moja na kama mnavyojua jiolojia haina mipaka isipokuwa mipaka ya kiutawala. Pia, wamefika kuona namna nchi hizi zinavyoweza kufanya ili hatimaye ziweze kuwa mfano bora wa ushirikiano kwa mataifa mengine Afrika,” amesema. Aidha, Waziri Biteko amemuelezea waziri huyo kuwa ni mtu mwenye kiu na wivu wa maendeleo ya kuona rasilimali madini inalinufaisha taifa hilo kwa kuwa amekuwa akifuatilia Sekta ya Madini nchini kwa kipindi kirefu na kuongeza, “nimpongeze sana waziri wa Burundi kwa kuwa na wivu wa rasilimali madini kwani tusipokuwa na wivu wa rasilimali zetu baadaye tutachekwa.’’ Aidha, Waziri Biteko ameonya kuhusu wale wote wanaotegesha kwa lengo la kunufaika na malipo ya fidia na kueleza kuwa hawatalipwa chochote isipokuwa tu kwa wananchi wenye uhalali wa kulipwa. Pia, ameongeza kuwa, Serikali haitawavumilia wale wote wanaofanya vitendo vya tegesha. Kwa upande wake, Waziri Uwizeye amesema ujumbe wake umefika nchini kujifunza ili mradi huo uweze kuzinufaisha nchi zote ikiwemo kuhakikisha nchi hiyo pia inachimba madini hayo na hivyo kuiomba Tanzania kuipa nafasi ya kujifunza kuhusu utekelezaji wa mradi huo kwa kuwa jiolojia ya madini hayo pia inapatikana nchini humo. Naye, Mkuu wa Wilaya ya Ngara, Kanali Mathias Kahabi amemhakikishia Waziri Biteko kuwa, Wilaya hiyo haitokuwa kikwazo cha utekelezaji wa mradi wa uchimbaji wa nikeli. Ametumia fursa hiyo kuelezea masuala muhimu matatu ambayo tayari yamefanywa na wilaya hiyo, ikiwemo kufanya zoezi la kutambua maeneo ya kupisha mradi; mazungumzo ya awali kati ya wawekezaji na wananchi katika ngazi zote; na mapitio ya makubaliano ya kuhamisha wananchi. Aidha, Mkuu huyo wa Wilaya ametumia fursa hiyo pia kumuomba Waziri Biteko kuweka msukumo ili kuwezesha mradi huo kuanza kwa wakati uliopangwa. Akizungumza katika ziara hiyo, Balozi wa Tanzania nchini Burundi, Dkt. Gilly Maleko amesema baada ya kuwepo mahusiano mazuri ya kidiplomasia kwa nchi hizo ambazo zimekuwa marafiki kwa miongo mingi, ilionekana kuwa ipo haja ya kukuza mahusiano ya kiuchumi. Naye, Balozi wa Jamhuri ya Burundi nchini Tanzania, Gervouis Abayeho, amesema baada ya kufahamu kuwa Tanzania ina uzoefu wa muda mrefu katika Sekta ya Madini, nchi hiyo imeona ipo haja ya kujifunza kutoka Tanzania ili kupata uzoefu utakaoiwezesha nchi hiyo kusimamia Sekta ya Madini kwa manufaa ya nchi hiyo ikiwemo kuzisaidia nchi hizo kugeuza sura za kiuchumi kwa mataifa hayo. Kadhalika, Mbunge wa Jimbo la Ngara Mheshimiwa Ndaisaba Ruhoro, ameihakikishia nchi hiyo kuwa kama mbunge wa eneo hilo atahakikisha anapambania ujenzi wa miundombinu muhimu ikiwemo barabara na umeme ili utekelezaji wa mradi huo ufanyike kikamilifu. Ameitaka nchi hiyo kuendelea na mipango ya kuchimba madini hayo kwa kuwa miundombinu itaboreshwa. “Burundi haipo karibu na bandari, ikichimba nikeli itapitisha kwetu tutapata fedha lakinipia kama nchi, tutanufaika na madini kutoka nchi jirani,’’ amesema Ruhoro. Kwa upande wake, Meneja Mkazi wa Kampuni ya Tembo Nikeli Benedict Busunzu akiwasilisha taarifa kuhusu mradi huo amesema uhai wa mgodi unatarajiwa kuwa zaidi ya miaka 30 na kuongeza kuwa, tayari Kampuni hiyo imepata mbia mwenza Kampuni ya BHP ambayo ni kampuni kubwa ya madini duniani inayotarajiwa kuleta mapinduzi makubwa ya kiteknolojia katika utekelezaji wa mradi huo. Ameitaja teknolojia hiyo kuwa ni ya Hydrometallurgy kuwa ni ya kwanza kutekelezwa duniani ambayo pia, itakuwa rafiki mkubwa wa mazingira. Busunzu ameitaja nikeli ya Kabanga kuwa ni ya daraja la juu duniani na kuutaja mradi huo kuwa na manufaa makubwa ya kiuchumi kwa Tanzania. Akizungumzia soko la madini hayo duniani, amesema ni yanahitajika sana kutokana na kuhama kwa matumizi ya teknolojia na kueleza kuwa, kabla ya kuzuka kwa vita ya Urusi na Ukraine bei ya madini hayo kwa tani ilikuwa ni Dola za Marekani 21,000 na kupanda hadi Dola za Marekani 51,000 na ndani ya muda mfupi kufikia Dola za Marekani 100,000 kwa tani moja ya nikeli. Ameongeza kuwa, hivi sasa bei yake imeshushwa hadi kufikia Dola za Marekani 48,000 kwa tani ili kulinda mwenendo wa soko lake.

Comments
  • Новости Кыргызстана // Прямой эфир // 23.01.2026 Трансляция закончилась 15 часов назад
    Новости Кыргызстана // Прямой эфир // 23.01.2026
    Опубликовано: Трансляция закончилась 15 часов назад
  • TAMBUA UTAFITI WA MADINI YA NIKELI KWA NJIA YA JIOKEMIA 2 года назад
    TAMBUA UTAFITI WA MADINI YA NIKELI KWA NJIA YA JIOKEMIA
    Опубликовано: 2 года назад
  • The First Lady of Burundi : A bravery and Unique Woman 7 лет назад
    The First Lady of Burundi : A bravery and Unique Woman
    Опубликовано: 7 лет назад
  • PROF. MBARAWA ATEMBELEA SGR TABORA, “ CHANGAMOTO NI KAWAIDA KATIKA UTEKELEZAJI MIRADI MIKUBWA” 2 года назад
    PROF. MBARAWA ATEMBELEA SGR TABORA, “ CHANGAMOTO NI KAWAIDA KATIKA UTEKELEZAJI MIRADI MIKUBWA”
    Опубликовано: 2 года назад
  • MADINI ADIMU YA GRAPHITE YAGUNDULIKA MERERANI, WAZIRI MAVUNDE AWEKA WAZI UTAJIRI WA MADINI HAYO. 1 год назад
    MADINI ADIMU YA GRAPHITE YAGUNDULIKA MERERANI, WAZIRI MAVUNDE AWEKA WAZI UTAJIRI WA MADINI HAYO.
    Опубликовано: 1 год назад
  • TBC1: SHEHENA 24 Kutoka DSM Zawasili Burundi Kwa Mara Ya Kwanza Трансляция закончилась 6 лет назад
    TBC1: SHEHENA 24 Kutoka DSM Zawasili Burundi Kwa Mara Ya Kwanza
    Опубликовано: Трансляция закончилась 6 лет назад
  • Mkapa ailaumu serikali ya Burundi kukwamisha mazungumzo ya amani 7 лет назад
    Mkapa ailaumu serikali ya Burundi kukwamisha mazungumzo ya amani
    Опубликовано: 7 лет назад
  • Majambazi sugu wakamatwa na polisi kwenye mpaka wa Burundi na Tanzania 6 лет назад
    Majambazi sugu wakamatwa na polisi kwenye mpaka wa Burundi na Tanzania
    Опубликовано: 6 лет назад
  • WACHIMBAJI WADOGO  MGODI WA NDITI WILAYANI NACHINGWEA WAIOMBA SERIKALI KUWAPATIA LESENI 3 года назад
    WACHIMBAJI WADOGO MGODI WA NDITI WILAYANI NACHINGWEA WAIOMBA SERIKALI KUWAPATIA LESENI
    Опубликовано: 3 года назад
  • MAMBO MATANO KUHUSU UCHIMBAJI MADINI NICKEL TANZANIA 5 лет назад
    MAMBO MATANO KUHUSU UCHIMBAJI MADINI NICKEL TANZANIA
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Shuhudia Warembo wa Bujumbura Burundi- Wakishiriki Maonyesho ya Ujasiriamali - 10 min 3 года назад
    Shuhudia Warembo wa Bujumbura Burundi- Wakishiriki Maonyesho ya Ujasiriamali - 10 min
    Опубликовано: 3 года назад
  • Почки скажут вам: всего 1 стакан перед сном и ночные походы в туалет исчезнут | ПАМЯТЬ И МОЗГ 9 дней назад
    Почки скажут вам: всего 1 стакан перед сном и ночные походы в туалет исчезнут | ПАМЯТЬ И МОЗГ
    Опубликовано: 9 дней назад
  • СВИТАН: Бегите из этих городов! ИХ УЖЕ СДАЛИ НА ПЕРЕГОВОРАХ. Будет линия по Днепру. ВСУ остановились 13 часов назад
    СВИТАН: Бегите из этих городов! ИХ УЖЕ СДАЛИ НА ПЕРЕГОВОРАХ. Будет линия по Днепру. ВСУ остановились
    Опубликовано: 13 часов назад
  • Serikali ya #Burundi inadai kuwa hainufaiki katika uchimbaji madini 4 года назад
    Serikali ya #Burundi inadai kuwa hainufaiki katika uchimbaji madini
    Опубликовано: 4 года назад
  • «Это издевательское предложение». Уиткофф в Москве, переговоры России и Украины, Путин и миллиард 17 часов назад
    «Это издевательское предложение». Уиткофф в Москве, переговоры России и Украины, Путин и миллиард
    Опубликовано: 17 часов назад
  • Сергей Лавров: мир больше не живёт по правилам — «кто сильнее, тот и прав» 19 часов назад
    Сергей Лавров: мир больше не живёт по правилам — «кто сильнее, тот и прав»
    Опубликовано: 19 часов назад
  • Почему зарядка после 60 ускоряет потерю мышц? Парадокс сардинских долгожителей | ЗДОРОВЬЕ ДАРОМ 9 дней назад
    Почему зарядка после 60 ускоряет потерю мышц? Парадокс сардинских долгожителей | ЗДОРОВЬЕ ДАРОМ
    Опубликовано: 9 дней назад
  • DKT.BITEKO ASISITIZA WATANZANIA WASICHEZEE AMANI ILIYOPO NCHINI 8 месяцев назад
    DKT.BITEKO ASISITIZA WATANZANIA WASICHEZEE AMANI ILIYOPO NCHINI
    Опубликовано: 8 месяцев назад
  • WOW! $2.1B TANZANIA–BURUNDI Railway Begins – AFRICA’S Future Track 4 месяца назад
    WOW! $2.1B TANZANIA–BURUNDI Railway Begins – AFRICA’S Future Track
    Опубликовано: 4 месяца назад
  • Почему союз НЕ ВЗЯЛ эти 3 страны? Сталин сказал «НЕТ» 4 дня назад
    Почему союз НЕ ВЗЯЛ эти 3 страны? Сталин сказал «НЕТ»
    Опубликовано: 4 дня назад

Контактный email для правообладателей: u2beadvert@gmail.com © 2017 - 2026

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5